Fasihi Simulizi Notes Pdf Download
Fasihi Simulizi Notes Pdf Download Fasihi ni sanaa inayotumia lugha kuwasilisha ujumbe unaomhusu binadamu. Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha fikra na hisia za binadamu kama vile maneno, maandishi, uchoraji, uchongaji, ufinyanzi n.k. Download Fasihi Simulizi Notes>> Fasihi simulizi ni sanaa kwa vile: Huwasilisha ujumbe kuhusu binadamu kuhusu utamaduni na uchumi. Huwa na umbo mahsusi k.m. […]