Home Tags Otile Brown – Baby Love Lyrics

Tag: Otile Brown – Baby Love Lyrics

Otile Brown – Baby Love Lyrics

Mmmh……oooh laaa…yeah yeah yeah…

Thamani yako, uzuri wako, naujua mwenyewe
Sikuachi pengine uniache wewe
Alimradi unanipenda, peke yetu tutaishi kwenye dunia
Sikuachi pengine uniache wewe

Jiko we jiko langu kama mboni ya macho yangu
Ntakulinda mpenzi wangu X2

Achana nao(nao), achana nao(nao), ooh achana nao, hao wenye roho mbaya wanatusema vibaya X2

Baby love, wewe wangu, mi wako wa moyo, oh baby love usije niacha kwa fitna na maneno yao X2

Mmmmh
Oh yeah

Huna habari, jinsi gani moyo wangu unaupendeza
We ndio furaha, yangu we ndio amani yangu

We ni jiko, jiko langu, kama mboni ya macho yangu
Ntakulinda mpenzi wangu X2

Achana nao(nao), achana nao(nao), ooh achana nao hao wenye roho mbaya wanatusema vibaya X2

Baby Love wewe wangu mi wako wa moyo, oh Baby Love usije niacha kwa fitna na maneno yao X4

We ni jiko, jiko langu, kama mboni ya macho yangu
Nitakulinda mpenzi wangu.

 

(Thanks to Otile Brown)

- Advertisement -