Home General Ethic – Pandana Video, Mp4, Mp3 Audio Download and Lyrics

Ethic – Pandana Video, Mp4, Mp3 Audio Download and Lyrics

3331

Ethic – Pandana Video, Mp4, Mp3 Audio Download and Lyrics

Video produced by Makenzie
Audio produced by Motif Di Don

Download MP3 here>>

35/60
Outta Umojamaica
Prrrrr Kang Kang

Banana, ninayo bas
Tunabakana, hapo nyuma na sidika
Mnafanana, maana kila day bana
Unaitangaza, katangaze basi baby

Si hupandana, panda panda
Si hupandana, katangaze basi baby
Si hupandana, panda panda
Si hupandana eeh

Madibala nazimanya, nika niko ndonyo
Nikidungi nimepaka na itachoma mboto
Nikidudu nikinyanya napoteza toko
zikidundi, zikinyanya nazipeleka soko

Kando ya tapo,  machapo mpaka itoe dodo
Pigwa finger na kidole kimejaa mangoto
Nayo theo hapana na lock, tunapiga koto
Sampe gwara lock, tupa ka ana joto

Banana, ninayo bas
Tunabakana, hapo nyuma na sidika
Mnafanana, maana kila day bana
Unaitangaza, katangaze basi baby

Si hupandana, panda panda
Si hupandana, katangaze basi baby
Si hupandana, panda panda
Si hupandana eeh

Shandana
Kaa ni mblaina inabidi aweke lawama
Toka teke cheki banger basi ulala
Toto yako iyeke fiti nitaikulala
Under water nakwambia ‘shaitangaza
(mmmh hhhmmm)
Nakwambia ‘shaitangaza
Ni nare come na shadda tutaiwashana
Pale zabe macho zangu zimenyanyana
Iko ready imesteady na ni

Banana, ninayo bas
Tunabakana, hapo nyuma na Sidika
Mnafanana, maana kila day bana
Unaitangaza, katangaze basi baby

Si hupandana, panda panda
Si hupandana, katangaze basi baby
Si hupandana, panda panda
Si hupandana eeh

Mpate ametii ako lit
Bila pupa atawafeast
Kwanza akianza story za matapa tapa ndani ya boo
Donda kumdandia atamdandia mpaka kesha
Ati nguna anadaisha mboko bigi kaa amepewa
Donda anadandia ndae ora ora don don
Donda anachangia ngwai oya oya don don
Alafu anakazia ngwai oya oya don don

Banana, ninayo bas
Tunabakana, hapo nyuma na sidika
Mnafanana, maana kila day bana
Unaitangaza, katangaze basi baby

Si hupandana, panda panda
Si hupandana, katangaze basi baby
Si hupandana, panda panda
Si hupandana eeh

0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Nico aka shyrock
4 years ago

Good job guys