Lifestyle

Wasifu Wake Aurlus Mabele (Aurlus Mabele Biography)

Wasifu Wake Aurlus Mabele Almaarufu Mfalme Wa Soukous aliyeenda ulaya, kuishi Maisha bora na katambulisha mziki wa soukous kimataifa lakini Mungu si Athumani. Akamuchukulia huko. Yaani Mungu si kama mwanadamu hufanya mambo yake kwa wakati wake na kulingana na mapenzi yake. Kwa mashabiki wa nyimbo za Lingala huwezi kukosa kusikia kwenye vinywa vyao wakilitaja jina […]