Willy Paul Ft Rayvanny – Mmmh Video, Mp3 Download & Lyrics
Willy Paul Ft Rayvanny – Mmmh Video, Mp3 Download & Lyrics
Powered by Embed YouTube Video
Download >>
-
Willy Paul Ft Rayvanny Mmmh Video,
-
Willy Paul Ft Rayvanny Mmmh Mp3 Download,
-
Willy Paul Ft Rayvanny Mmmh Lyrics,
Willy Paul Ft Rayvanny Mmmh Lyrics
MMMH LYRICS BY WILLY PAUL
VERSE 1 RAYVANNY
Siku kuu kukupata we mdoli
Kwa ajili yangu mungu amekushusha
Kitungu we ndio ladha ya mtoli
Ama nyama nyama kwenye sambusa
Kichuguu ni mzigo na toroli
Hadi nguo inataka pasuka
Msupuu mwenye macho ya gololi
Rangi kama unaoga mafuta…
OUTRO. ……
Oh my, I don’t lie
Girl you know you changed my life
In your eyes I don’t lie
Girl you know you changed my life…
We ndio raha dunia mbaya
Sikia my dear
Usije nikimbia tulia
Milele niwe na wewe…..
CHORUS..
Mmmh mmmh mmmh(sisemi)
Mmmh mmmh mmmh (Nabaki nakuna kuna)
Mmmh mmmh mmmh mama (sihemi)
Mmmh mmmh mmmh (Nabaki najimumunya)
Allow me touch you baby Oooh
Allow me kiss you sheriff ooh
Allow me touch you baby ooh
Allow me kiss you yeeeeeeaaaaahh
Toto jojo umeumbwa ukaumbika mmmh
Shavu jojo mwenzako namaizika
Eeeeh
Hauna nyodo we kwangu ndo malaika
Usilete zogo mwenzako atanizika
Oooohh oh
Baby naona wewe ndio Hawa na mimi Adamu
Upeleke kila kona Nairobi sawa na Daresalaam
OUTRO
Oooh my I don’t lie
Girl you know you changed my life
In your eyes I don’t lie
Girl you know you changed my life…. *2
CHORUS
…..
Aaah aaah aaah aaaah
VANNY BOY WILLY POZEE NOMAREE
Aaah aaaah aaah aaaah
SALDIDO
Mmmh mmmh mmmh
Mmmh mmmh mmmh
Mmmh mmmh mmmh
Siku kuu kukupata we mdodi
kwa ajili yangu mungu amekushusha
kitumbua ndio ladha ya mt*
ama nyama kwenye sambusa
Siku kuu kukupata we mdodi
kwa ajili yangu mungu amekushusha
kitumbua ndio ladha ya mt*
ama nyama kwenye sambusa
nice one…….