Home General Darasa ft Ben Pol Muziki Mp3 Video Download & Lyrics

Darasa ft Ben Pol Muziki Mp3 Video Download & Lyrics

2755

 Darasa ft ben pol muziki mp3 with lyrics download . you can get darasa ft ben pol muziki video download, darasa muziki video, darasa ft ben pol muziki lyrics, darasa ft ben pol muziki download, darasa ft ben pol video downloadmuziki darasa lyrics, darasa ft ben pol mp3 download,

Darasa ft Ben Pol Muziki Mp3 Video Download & Lyrics

Hook – Darassa
Rudi Utotoni, Usipotembea utabebwa mgongoni
255 champion BOYniite mbwana samatta

Verse 1 – Darassa
Wanaopta mapembe waongezee Mkia
Na ukinibip tu nakupigia, and let me make one thing clear
Bla Blah Blah Sitaki kusikia
Sio simba, sio chui sio mamba
Ngozi yangu inatosha kujigamba
Na sina maneno ya kwenye Kanga
Kazi juu ya kazi yani bamba to bamba
Ukizaa unaweza kuzaa kizaa zaa
Sinzia na fegi uchome kibanda
Kalale uote ndoto zako za Kitanda
si bado tuko macho mida ya wanga

Pre Chorus
Funga mkanda, kaza na kamba
ama ufate nyayo uchane msamba
pasua miamba, pasua anga,
Tunasemaga chambua kama karanga
Koras
Maisha na Muziki, Acha maneno weka muziki,
Ukiwa safi ukiwa happy ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
Safari na muziki acha maneno weka muziki
beba unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki.

Ben Paul
Bambataa, shika kamata, rhumba sakata, Kaboka mchizi shadata nshadata aaah

Verse 2 – Darassa
Unataka kukimbia na hauna brake, what do you Expect
Bongo,Congo au Thabo Mbeki
Cheza Lokasa ya Bongo huwezi kumake
Waache wa self usije ukaji Confuse
Mzuka wa kuruka Raggae kwenye Blues
Una mchuzii no excuse, maisha ya ghetto kila siku kama Movie
Vitu vingine havitakagi ujuaji
Utajikuta unatandikia watu jamvi
Kusubiria embe chini ya mnazi
Kumwelewesha chizi utajipa kazi

Pre Chorus
Funga mkanda, kaza na kamba
ama ufate nyayo uchane msamba
pasua miamba, pasua anga
Tunasemaga chambua kama karanga

Kiitikio
Maisha na Muziki, Acha maneno weka muziki, Ukiwa safi ukiwa happy ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
Safari na muziki acha maneno weka muziki, beba unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki.

Wanatamani tupotee kwenye Map, Tunapeleka Ghetto to the To Top
As I Told You that we don/t stop, dont stop we dont stop * 2

0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest

0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments