Home Entertainment Ethic Entertainment Chapa Chapa Download Mp3, Video & Lyrics

Ethic Entertainment Chapa Chapa Download Mp3, Video & Lyrics

2113

Ethic Entertainment Chapa Chapa Download Mp3, Video & Lyrics

Ethic Entertainment Chapa Chapa Lyrics

Niki chapa naichapanga jo tena
Niki chapa naichapanga jo tena

Na ju sijali ata rangi mi na kembaà
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali ata rangi mi na kembaà
Bado gari ni gari kwa dereva

Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena

Cheki na na nani na ni otero
Cheki da anadandia kaambie pero
Ka ni Ikus nataka nkaambie Shiro
Na Shiro ananishow ana mashiro.
Digithia digithia digithia wana
Digithia digithia digithia wana
Digithia digithia digithia wana
Bro zikishikaga achanga wana.

Na ju sijali ata rangi mi na kembaà
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali ata rangi mi na kembaà
Bado gari ni gari kwa dereva

Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena

Pika pika ringa Lima Lima
Pigah mimba chimba kimba pimaa
Vimba vimba lima zima zimaa
Simba ringa bomber figgah ndigah
Mzingah kinda dinda vako pingah
Vanga manga shadda nyanya dakaa
Unaeza lamba bamba mbao saka
Chimba chimba zika bananana

Na ju sijali ata rangi mi na kembaà
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali ata rangi mi na kembaà
Bado gari ni gari kwa dereva

Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena

Pako ya kondiko na ya kahawa
Safisha rungu alafu maliza na madawa
Usishike tire na ma njoti we nawa
Kula kula style ya chura kula style ya swala
Leo stoki mbata, leo shang’ inang’aa
Pongi hiezi isha, naichapa lala
Adi imwage malaa, ukichoka lala
Ni ku ndakala la
Na wavua kumbe nanga zime para rara.

Na ju sijali ata rangi mi na kembaà
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali ata rangi mi na kembaà
Bado gari ni gari kwa dereva

Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena

Na ju sijali ata rangi mi na kembaà
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali ata rangi mi na kembaà
Bado gari ni gari kwa dereva

Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena

Leo stoki mbata, leo shang’ inang’aa
Pongi hiezi isha, naichapa lala
Adi imwage malaa, ukichoka lala
Ni ku ndakala la
Na wavua kumbe nanga zime para rararara.

Ethic Entertainment Chapa Chapa Mp3 Download,
Ethic Entertainment Chapa Chapa Video Download,
Ethic Entertainment Chapa Chapa Lyrics,

0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest

0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments