Home Entertainment Taka taka Kenyan Song Video, Mp4 Download and Skiza tune

Taka taka Kenyan Song Video, Mp4 Download and Skiza tune

3042

unakataa kuwa dem yangu mp3 download

unakataa kua dem yangu mp3 download,

alvindo taka taka mp3

unakataa kuwa dem yangu song mp3 download

takataka mp3

alvindo taka taka video download

alvindo taka taka mp3 download

taka taka song download

Taka taka Kenyan Song Lyrics

Unakataa kua dem Yangu Naenda kwa Mrogi nakuroga unakufa na nakujaa kwa mazishi yako kukula na Kukunywa na kukula nikucheke ukizikwa

Unaringaga unaringa nini na sura mbaya ata kuliko mbuzi

roho chafu kama ya shetani unadhaniaga ww ni nani.

Takata taka taka

mapepo zinakufwata

sijui ata ni nini niliona kwako

ata ningejua ningekatia dadako

Takata taka taka

mapepo zinakufwata

Ulinikataa juu ulijua ntakukataa na kama hungenikataa mi ningekukataa nilingoja tu we ndo unikatae 1st cos am a gentleman and ladies go 1st. But let me tell u something young woman apana wekea wanaume roho ya chuma ukikatiwa joh kubali kukatika ama ukizeeka ndo maringo itaisha bure kabisa na ukwende kabisa na utume beshte yako akujie izo nguo ulibakisha*2

Kukupenda ndio mi huregretingi tu sana hata natamaningi hatungewai patana unaishi maisha fake na umejaa tu madrama ata nashukungu uliwachiangwa laana mara ati leo unaitwa natasha kesho umechange jina unaitwa soni mara uko single kesho ukona bwana mara unaishi ronga mara unaishi doni

I even suspected ur a criminal na kama we ndo dem acha nikae hivo staki ata mwingine acha nikufe single umeniacha na chronic bachelor syndrome

SONG WRITTEN AND PERFORMED BY ALVIN (ALVINDO) A PROPERTY OF FASTCASH MUSIC GROUP PRODUCED BY MAGIX ENGA EXECUTIVE PRODUCER – KRG THE DON

TO PUT TAKA TAKA AS YOUR SKIZA TUNE SMS – SKIZA 7630280 TO 811 FOR VERSE 1 SMS – SKIZA 7630281 TO 811 FOR CHORUS SMS – SKIZA 7630282 TO 811

Taka taka Kenyan Song Video

  • taka taka song,
  • takataka songs,
  • kenyan song taka taka,
0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest

2 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Amechaj
Amechaj
5 years ago

I’m in support for alvindo.

Steve kenty
Steve kenty
5 years ago

kaka sana kaka