Home Entertainment Ethic Entertainment – Figa Video, Mp3 & Lyrics

Ethic Entertainment – Figa Video, Mp3 & Lyrics

1337

Ethic Entertainment – Figa Video, Mp3 & Lyrics

LYRICS
FIGA LYRICS
CHORUS
Kwanza venye ume jibebanga , me udai me udai me upenda na penda
Tako venye we ui chezanga me udai me udai me upenda na penda.
Figa fire yaani dangerous me udai me udai me upenda na penda
Fanya na feel Kama veteran me udai me udai me upenda na penda
Me upenda na penda x4
Verse 1: ZILLA
Ringi ndani Ya goro
Alafu akue solo
Kwanza akiwa momo
Buda namchongoa…
Macho zako ndogo chongo
Lamba mboko mpaka usogo
Dem akiwa campo anastone proper
Alafu akiwa vajo anadondosa
Pale downtown anadondosa
Pale down pale down kudondosa.
CHORUS
Kwanza venye ume jibebanga , me udai me udai me upenda na penda
Tako venye we ui chezanga me udai me udai me upenda na penda…
Figa fire yaani dangerous me udai me udai me upenda na penda
Fanya na feel kama veteran me udai me udai me upenda na penda
Me upenda na penda x4
Verse 2: SESKA
Niko kidali hio shamba ntachuna mboga
Lejo jaza kwa chupa ya Johnny Walker
Nina taki ya mayeng huna rieng
Nazichuna Kama Cheng
Uku nyanda upigwa mboka
Kukumanga kwa tool zangu za mogoka
Akuna panya so paka atakula nyoka
Kwa kichaka kitanda riko na sofa
Chapa Chapa ukichapa naachia bro man
CHORUS
Kwanza venye ume jibebanga, me udai me udai me upenda na penda
Tako venye we ui chezanga me udai me udai me upenda na penda…
Figa fire yaani dangerous me udai me udai me upenda na penda
Fanya na feel kama veteran me udai me udai me upenda na penda
Me upenda na penda x4
Verse 3: SWAT
Kwa mbulu luku washa kindukulu
Kam tu kejani nkupigeh maviboko
Pale Instagram ndachachisha na Kimboto
Venye nawatesa me napenda ma goko, mangoto Malocal ziko kwa mbosho
Orosho madiva zimebundi na ni koro
Kulamba muroro fika ndono juu ya koto vurugu kukaba kwa kila Mauru
CHORUS
Kwanza venye ume jibebanga , me udai me udai me upenda na penda
Tako venye we ui chezanga me udai me udai me upenda na penda…
Figa fire yaani dangerous me udai me udai me upenda na penda
Fanya na feel kama veteran me udai me udai me upenda na penda
Me upenda na penda

0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest

0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments