Nandy New Song Hazipo Lyrics, Mp3, Mp4 Video Download and Skiza Tune
Nandy New Song Hazipo Lyrics, Mp3, Mp4 Video Download and Skiza Tune
Nandy, The African Princess, has released another music video of the song, Hazipo. Find the video and mp3 download links below.
Nandy New Song Hazipo Video
Download Nandy Hazipo Video>>
Download Nandy Hazipo Mp3 >>
Nandy Hazipo Lyrics
Yeeeeh aaaah aaah aahhaaaah mmmh
Uzuri wako mashallah na macho yako ndo balaah
sauti yako noma sana na mwendo wako ndo balaah
Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani×2
Me hazipo
Hazipooooh
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipooooh
Akili me hazipo bwana
Hazipooooh
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipooooh
Ayaaah aaaah eeeh yeeee iyeye iyeye
Sistimu nyingi kichwani akili zangu baba aaah aaah sijitamani
nifikirie Sana aaaah usinipe maruani me moyo
utaamaa aaah na mashetani yanapenda kwa manaa aaah
Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani×2
Me hazipo
Hazipooooh
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipooooh
Akili me hazipo bwana
Hazipooooh
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipooooh
Takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa
mapigo penzi la supu baba ukieka nazi hatari mzigo×2
Jaribu kuwa smart nipe mahabati tu japo kidogo
oooh mie wazimu baba kichwani mwangu mwenzio hazipo
Mwenzio mie hazipo
Hazipooooh
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipooooh
Akili me hazipo bwana
Hazipooooh
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipooooh oooh yeeah
Hazipooooh ooooh yeeeah
Hazipooooh ooooh oh weeee
COMMENTS